JamiiTalk hulinda mazungumzo yako/yenu kwa ufumbaji wa mwisho hadi mwisho.
Hii inamaana kwamba ujumbe wa faragha hua katika yako na watu unao wasiliana nao hata JamiiTalk yenyewe haiwezi kuona wala kusoma.
Ujumbe wa faragha hufumbwa mwisho hadi mwisho. Hakuna mtu nje ya soga yenu, hata...