Katika mchakato wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwapata wagombea wa Ubunge, jina la Paul Makonda limepenya hatua ya awali ya mchujo ngazi ya wilaya ya Arusha.
Kwa upande mwingine, jina la mpinzani wake wa muda mrefu, Mrisho Gambo, halikupitishwa katika ngazi hiyo ya wilaya — hali...