Advertise here

gasper kagonda

  1. Kasomi

    Mfahamu Gasper Kagonda a.k.a Gasper comic aliyevuma kwa msemo wake wa Nchi ya Malawi

    Kutoka ardhi ya jua kali la Sikonge mkoani Tabora, alikozaliwa kama mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wanne, ndipo simulizi ya Gasper Joseph Kagandwa maarufu kama Gasper Comic ilipoanza kuandikwa kwa wino wa uvumilivu na ndoto. Alikulia katika mazingira ya hali duni kimaisha, katika...
Back
Top