gemini

  1. Kasomi

    is 2026 next year? Gemini yashindwa kutambua

    Ukiingia Google na kuandika is 2026 next year? Google Gemini inakataa lakini kwenye maelezo inakubali. Je, hii model ya Gemini haipo sawa? Unaweza jaribu hii nimejaribu mara kadhaa
  2. Kasomi

    Jinsi ya kutengeneza Picha ya Photoshoot kwa kutumia Gemini AI

    Ili kutengeneza Picha kama ya photos kwa kutumia AI na ionekane kama hapa chini Upload picha Mbili (uki upload zenye ubora na picha zitakuwa nzuri zaidi) Baada ya kuupload copy Prompt hapa chini kisha paste kwenye AI yako ulipo upload picha zako. Using the uploaded photo, create a...
Back
Top