Kwa Sasa unaweza tumia mfumo wa Graphics Interchange Format (GIF) kutoka Giphy ndani ya mtandao wa JamiiTalk wakati ukiandika uzi (Thread) au kutoa maoni (reply).
Jinsi ya kutumia GIFs
Bonyeza vidot vitatu vya pili kutoka kushoto au kulia (vilivyo katikati)
Mfano pichani hapo
Baada ya hapo...