Mtangazaji divathebaawse amemchukulia hatua za kisheria Msanii @gigy_money_og kwa matumizi mabaya mitandaoni kufatiwa namvutano wao ambao umeteka mitandao ya kijamii.
Nimechukua hatua zote za kiusalama wa mtandaoni na nime file a report kitengo cha cyber dhid ya gigy nina evidence nyingi sana...