Mfahamu Given Edward, mtanzania aliyeshinda tuzo mbili za kimataifa katika sekta ya elimu
Novemba 30, 2018 Mtabe ilishindana na wabunifu washindi kutoka bara la Asia na bara la Ulaya. Mtabe ilishinda kama mshindi wa jumla na kutunukiwa tuzo ya ubunifu bora kutoka katika mabara hayo matatu...