Akatwa Koromeo Kimakosa Akifanyiwa Operesheni Ya Goita Hospitalini – Video
Hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Ibrahim Farijallah, mkazi wa Survey, Chuo Kikuu, jijini Dar es Salaam, anakabiliwa na changamoto kubwa baada ya kukatwa baadhi ya mishipa ya hewa kooni wakati wa upasuaji...