1- cha cha slide
Tafuta “cha-cha slide”au "cha cha slide" na bonyeza ikoni ya spika pembeni juu kulia Google hufanya “dance moves” kwenye skrini kwa kila hatua ya wimbo hivyo endelea kubonyeza kwa kila umbo linalo tokea
2- do a barrel roll au Z or R twice
Ukitafuta neno "Z or R twice" kwenye...