Graça Machel ndiye mwanamke pekee katika historia ya kisasa aliyewahi kuolewa na marais wawili tofauti na kuwa Mama wa Taifa wa nchi mbili tofauti. Awali, aliolewa na Rais wa Msumbiji, Samora Machel, mwanaume aliyeshiriki naye ndoto ya ukombozi na maendeleo ya taifa. Baada ya kifo cha...