Rais wa FIFA Gianni Infantino amemtaja rapa Drake ku-performe World Cup Halftime Show 2026 baada ya kuvutiwa na alichokifanya Kendrick Lamar kwenye Super Bowl.
Infantino anasema idea ya kumleta Drake kuburudisha fainali ya World Cup ni nzuri sababu mshindani wake Kendrick Lamar amefanya vizuri...