Je, wajua kuna Ugonjwa wa mtu kuogopa kusoma neno refu ugonjwa huo kitalaamu huitwa
"Hippopotomonstrosesquippedaliophobia"
Hippopotomonstrosesquipedaliophobia ni woga wa maneno marefu . Ni neno ambalo lina kejeli zaidi kwa sababu ni neno lenyewe refu lakini pia linaweza kusababisha shambulio la...