HISTORIA YA SIR ISAAC NEWTON
Sir Isaac Newton {25 december 1642 - 20 march 1726}
alikuwa ni mwana fisikia, mwanahisabati, mwanateolojia na mwanafalsafa asilia ambaye amekuwa ni ufunguo muhimu katika ulimwengu wa kisayansi. Newton aliweza kuvumbua kanuni ya mwendo, kanuni nguvu ya mvutano na...