Mate yanaweza kuambukiza ukimwi?
Jibu ni hapana, matehayawezi kuambukiza HIV. Lakini swali unalotakiwa kulijibu je ni kwa nini mate hayaambukizi. Makala hii itakwend akukupa majibu haya
Je, Mate na Damu Inaweza Kusababisha Maambukizi ya HIV?
Virusi vya UKIMWI (HIV) vimekuwa vikitafsiriwa kwa...