IAA PRINCESS YATWAA UBINGWA LIGI YA WANAWAKE ARUSHA
Timu ya soka ya wanawake ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA Princess) imetwaa ubingwa wa Ligi ya Wanawake ngazi ya Mkoa wa Arusha baada ya kuifunga Emayani Queens kwa bao 1–0 katika fainali iliyopigwa Mei 24, 2026 katika Uwanja wa Barafu, Mto wa...