inec

  1. Kasomi

    INEC yamwondoa Mpina kugombea Urais

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemwondoa Luhaga Joelson Mpina, mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT–Wazalendo kwenye orodha ya wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kufuatia pingamizi liliowasilishwa na Hamza Saidi...
Back
Top