WATU HAWA WALIFANYA MAKUBWA KWENYE BONGO MOVIE ILA TUMEWASAHAU
J-PLUS/JIMMY MASTER (JIMMY MPONDA)
Huyu Jamaa ni hatari sana na anavipaji kibao, Jamaa ni Producer, Director, Story Writer na Muigizaji Pia. Tangu aanze sanaa ya Filamu Mwaka 1994 mpaka sasa anafilamu kali kama vile Shamba Kubwa...