Mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani, Jamal Musiala ndiye mchezaji wa kwanza wa nchi hiyo mwenye umri mdogo zaidi kucheza Kombe la Dunia akiwa na umri wa miaka 19 na siku 270, tangu alipofanya hivyo Karl-Heinz Schnellinger mwaka 1958 ambapo alishiriki michuano ya Kombe la Dunia akiwa na miaka...