Mwanaume mmoja Nchini Marekani, Jonathan Gerlach (34) amekamatwa na kushtakiwa kwa makosa zaidi ya 300 yakihusisha wizi wa zaidi ya Mafuvu 100 ya Binadamu pamoja na vito vya thamani vilivyoibwa katika Makaburi ambapo tukio hilo limeripotiwa kutokea katika Makaburi ya Mount Moriah mjini...