Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya Usaili kwa Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi wasaidizi na Makarani Waongozaji imebadilika kutoka tarehe 08/10/2025 badala yake usaili utafanyika tarehe 10/10/2025 kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Aidha, vituo vya kufanyia usaili...