Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani
Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani?
Hebu tusome Yakobo 5:
17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja kama sisi...
Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake
Samsoni na Delila
Hebu kwanza tusome habari fupi kuhusu Samsoni na Delila, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi 16:1-22
Samsoni ni nani
Siku moja, Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye. Watu wa Gaza...
Hii ndio sababu unatumiwa bili ya Maji hata usipotumia
Kuna muda Maji hua yanakata lakini baadae hutumiwa bili na kuhisi unaibiwa sababu hujayatumia basi sababu ni hii.
1- Mashirika ya Maji Tanzania hutumia Makadirio (Estimated Billing) – hii ndio Sababu kubwa zaidi
Mara nyingi shirika la maji...
kwa nini Ndege huacha mistari kama Moshi ikipita juu
Mistari hiyo unayoiona angani baada ya ndege kupita inaitwa contrails (kwa kifupi cha condensation trails).
Ingawa inaonekana kama moshi, kimsingi ni mawingu madogo yanayotengenezwa na binadamu.
Hapa kuna sababu kuu kwa nini mistari hiyo...
Mshereheshaji na mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias anayejulikana kama MC Pilipili amefariki dunia leo Novemba 16,2025.
Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikvwa...