Mwaka 1995 aliyewahi kuwa Muumini wa katoliki Joseph Kibweteere wa Uganda Alitangaza Kuwa Mwaka 2000 Ndio Mwisho wa Dunia, Hivyo Kanisa Lake Linauza Vyeti Kama Ndiyo Ticket ya Kuingia Mbinguni. Siku Ilipofika Watu Walijaa Kanisani, Akafunga Milango na Madirisha Kisha Akatia Kiberiti Kanisa Zima...