Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema..
"Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa Captain Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu muumba...