kariakoo

  1. M

    Dar Deals Kariakoo

    💎 UHALISIA WA TEKNOLOJIA UPO HAPA! 💎 Simu? Accessories? Electronics? ZOTE zipo, Mpya na Used za uhakika! Bei za Kariakoo! 📍 Kariakoo: Magila na Likoma. ✈️ TUNAKULETEA: Delivery mikoa yote ndani ya saa 24! JIUNGE NA FAMILIA YA DAR DEALS KARIAKOO! Pata Bei za Offa na Bidhaa Mpya kiganjani mwako...
  2. M

  3. Kasomi

    Simba SC wakosekana kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa Dabi ya Kariakoo

    HABARI: Simba SC wakosekana kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa Dabi ya Kariakoo Kuelekea mechi kubwa ya watani wa jadi kati ya Simba SC na Yanga SC itakayopigwa kesho, Jumatano Juni 25, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, hali ya taharuki imeibuka baada ya kikosi...
  4. Kasomi

    Omar Hussein 'Keegan' ndiye nyota anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi wa muda wote katika Dabi ya Kariakoo

    PAMOJA na kupigwa Dabi ya Kariakoo 113 kuanzia mwaka 1965-2024, lakini unaambiwa ni Omar Hussein ‘Keegan’ ndiye nyota anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi wa muda wote katika Dabi ya Kariakoo, akitupia sita na zote ni dhidi ya Simba. Keegan alihamia Simba baadae lakini hakuongeza idadi...
  5. Kasomi

    Simba Yasusia Mechi ya Derby ya Kariakoo Dhidi ya Yanga, Watoa Taarifa Hii

    Simba Yasusia Mechi ya Derby ya Kariakoo Dhidi ya Yanga, Watoa Taarifa Hii Klabu ya Soka ya imetangaza kususia kucheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc uliopangwa kuchezwa leo Machi 8, 2025 majira ya saa 1:15 usiku kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam...
Back
Top