Asili ya Jina Geita na Historia yake
Asili ya jina Geita: Neno Geita limetokana na maneno matatu ya kabila la Wayango (Warongo) ambayo ni Akabanga keita abhantu likiwa na maana kupotea kwa mazingara ambayo yalikuwa kwenye mlima huo wa Akabanga keita abhantu uliokuwa ukitumiwa na warongo kama...