Kutengeneza Mitindo ya picha ya katuni fuata hatua hii
1. Pakua app ya chatGPT au unaweza tumia kwenye kivinjari kwa kutembelea www.chatgpt.com
2. Bofya sehemu ya Ku upload Picha kisha Chagua picha unayotaka kubadili kuwa katuni
3. chagua picha na uandike "tengeneza picha ya mtindo wa Ghibli...