Advertise here

kidato cha tano

  1. Kasomi

    Selection za kidato cha kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi zatoka 2026 Wanafunzi 246,197 wamechaguliwa

    Wanafunzi 246,197 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi kati ya hao wasichana 114,102 na wavulana ni 132,095 ikijumuisha wanafunzi 631 ni wenye mahitaji maalum. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki...
  2. Kasomi

    Maelekezo Ya Kujiunga Na Shule Ya Sekondari Bugando Halmashauri Ya Wilaya Ya Geita Kidato Cha Tano Mwaka 2024/2025

    MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI BUGANDO HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA KIDATO CHA TANO MWAKA 2024/2025. 2. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA: 1. SARE ZA SHULE. (a) Sare ya shule hii ni mashati mawili (2) meupe ya tetron yenye mikono mirefu. (b) Suruali mbili(2) rangi ya kijivu giza zenye...
  3. Kasomi

    Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025/2026 TAMISEMI

    Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano, 2025 TAMISEMI Form Five Selection | Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 – Mwongozo Kamili kutoka TAMISEMI. Majina ya wanafunzi waliofaulu na kupangiwa kuingia Mwaka wa 5 kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ni miongoni mwa taarifa...
  4. Kasomi

    Angalia Selection zote za kidato cha Tano na Vyuo vya kati Hapa

    Hello JamiiTalker, Nimewarahisishia njinsi ya kupata selection. UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2022 BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA CHAGUA MKOA ULIKOSOMA (kisha bonyeza jina la mkoa kuona selection na shule zake) Arusha Dar es...
  5. Kasomi

    Selection za kidato cha Tano zatoka; Wanafunzi 14, 254 wamekosa Nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa leo amesema "Kwa kuangalia takwimu za mwaka 2022, kumekuwa na ongezeko la Wasichana 7,555 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na Vyuo vya Ufundi ukilinganisha na mwaka 2021, hata hivyo idadi hii bado ni ndogo kulinganisha na Wavulana, ili kukabiliana...
Back
Top