UPDATES Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Daraja la Kigongo–Busisi ni sehemu muhimu ya kuunganisha miundombinu ya kimkakati inayowezesha usafirishaji wa mizigo kupitia reli ya kisasa ya SGR na barabara za mikoa, na hivyo kuongeza tija ya uwekezaji mkubwa wa miundombinu nchini...