HABARI Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za mauaji ya Daudi Wilbard Ntuyehabi, aliyekuwa ni mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Wananchi-CUF katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mauaji hayo yametokea jana Oktoba 7 2025 majira...