TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
UBUNGE JIMBO LA KILWA KAA LA MOTO
Ni kweli na haya ni ya kawaida sana jimboni kwangu Kilwa, na hasa Kilwa Kaskazini:
Baada ya Kingunge Ngombali Mwiru kuacha kugombea, trend ya wagombea kufa au kupatwa na madhila imekuwa hivi:👇🏾
1. Aligombea bwana Chubi na bwana Mtumbuka kwenye kura za maoni...