Jinsi ya Kufahamu Kitambulisho chako kilipo au iwapo Kitambulisho chako cha Taifa Kimeshachapishwa
1)Tafadhali Piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja namba 0232210500 kuanzia saa 01:30 asubuhi hadi saa 09:30 jioni, kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kufahamishwa iwapo Kitambulisho chako...