Mwai Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Kenya ambaye aliiletea nchi hiyo mabadiliko makubwa ya maendeleo na udhabiti wa kitaifa.
Aliingia siasa mapema wakati Kenya ilipojipatia uhuru wake na alifanya kazi katika nyadhfa mbalimbali serikalini .
Baada ya kuhudumu kama makamu wa rais alijipatia...