Siku chache baada ya kuzikwa kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Hayati Job Yustino Ndugai, mchakato wa kisiasa wa kujaza nafasi ya ubunge wa jimbo hilo umeanza upya kwa kasi.
Mnamo Siku ya jana Agosti 12, 2025, jumla ya...