Advertise here

kontawa

  1. Kasomi

    TUONGEE KISHKAJI: Kontawa alivyorudia makosa ya Fid Q

    TUONGEE KISHKAJI: Kontawa alivyorudia makosa ya Fid Q Mwaka 2017 Fareed Kubanda Fid Q alitoa ngoma kali ya kuitwa Fresh. Ilikuwa ni ngoma kali iliyotembea yenyewe bila mbwembwe. Na ili kukuhakishia kuwa ilikuwa ni ngoma kali, mmoja wa wasanii ambao wanatajwa kuwa ni wagumu kufanya nao kolabo...
Back
Top