Advertise here

kufunga

  1. Kasomi

    MTV kufunga Channel zake Desemba 31 Mwaka huu

    Mtandao maarufu wa Muziki Duniani, MTV unajiandaa kufunga Chaneli zake za mwisho za kimataifa za video za muziki Desemba 31 mwaka huu hatua inayohitimisha rasmi enzi ya zaidi ya miaka 40 ya ushawishi mkubwa katika utamaduni wa vijana na tasnia ya burudani. MTV, iliyoanzishwa mwaka 1981, ilikuwa...
  2. Kasomi

    Omar Hussein 'Keegan' ndiye nyota anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi wa muda wote katika Dabi ya Kariakoo

    PAMOJA na kupigwa Dabi ya Kariakoo 113 kuanzia mwaka 1965-2024, lakini unaambiwa ni Omar Hussein ‘Keegan’ ndiye nyota anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi wa muda wote katika Dabi ya Kariakoo, akitupia sita na zote ni dhidi ya Simba. Keegan alihamia Simba baadae lakini hakuongeza idadi...
  3. Kasomi

    Ramadhani (Ramadhan/Ramadan): waislam kufunga mara mbili mwaka 2030

    Kila Ramadhani huchukua siku 10 hadi 11, kwani miezi ya Hijri ni siku chache kuliko kalenda ya kawaida, ambayo ina maana kwamba kila mwaka Ramadhani inakaribia Januari. Kwa mujibu wa mtaalamu wa Nyota Khalid al-Zaqaq, tofauti ya siku za hesabu hizo mbili ina maana kwamba kila baada ya miaka...
Back
Top