JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Martha Japhet (44) mkazi wa kitongoji za Mzalendo Kijiji cha Mawemelo kata ya Nyarugusu wilaya ya Geita kwa tuhuma za kumuua na kisha kumzika ndani mme wake.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Safia Jongo...