Je, wajua kwa kutumia Mtandao wa Facebook unaweza pata namba ulizo poteza?
Hatua ya kwanza kama huna Facebook Lite basi install Facebook Lite Maana hii inatumika kupata namba zako.
Baada ya kuinstall au kama una Facebook Lite basi log in kwenye account yako ya awali ili kupata namba ulizokuwa...