Kutoka kuwa chini ya lebo kubwa ya muziki hadi kumiliki ya kwake binafsi, msanii nyota wa Bongo Fleva, @mbosso_, ameandika ukurasa mpya katika safari yake ya muziki kwa kuzindua rasmi Record Label yake inayojulikana kama "Khan Music".
Mbosso, amedhihirisha ukuaji na ukomavu wa hali ya juu...