Mchoro wa Monalisa ni moja kati ya michoro mingi ambayo ni maarufu duniani, Mchoro huu uliweza kuchorwa na mwanasayansi pia mchoraji Leonardo da Vinci katika karne ya 16.
Pia mchoro huu unajulikana kama La Gioconda ambapo maana yake ni mwanamke mchangamfu katika lugha ya kiitaliano. na kwa sasa...
Leonardo Da Vinci (Vinci,Toscana, Italia, 15 Aprili 1452 –Amboise, Ufaransa, 2 Mei 1519) alikuwamtu mwenye vipaji vingivingi kutoka italy
Kifupi, alikuwa mwanahisabati,mhandisi, mwanasayansi, mgunduzi,mwanaanatomi, mchoraji, mchongaji,msanifu majengo, mwanabotania,mwanamuziki na mwandishi...