liang wenfeng

  1. Kasomi

    Liang Wenfeng: Mwanzilishi wa DeepSeek

    Programu mpya ya akili mnemba (AI) iliyotengenezwa China, iitwayo DeepSeek, imezusha taharuki katika ulimwengu wa teknolojia, na kuleta changamoto kwa ChatGPT, programu ya bure inayotumiwa zaidi nchini Marekani. Na mwanzilishi wake, bilionea Liang Wenfeng, amepata umaarufu wa mara moja nchini...
  2. Kasomi

    Ifahamu kwa undani program ya DeepSeek AI

    DeepSeek ni nini? Kwa lugha nyepesi DeepSeek ni programu ya (chatbot) inayoendeshwa na akili mnemba (AI), kama vile ChatGPT. Hii ni programu ya bure inayopatikana kwenye Apple. DeepSeek inasema imeundwa "kujibu maswali yako na kuboresha maisha yako." Ni AI inayotumia muundo (modeli) unaoitwa...
Back
Top