Advertise here

lilian jackson

  1. Kasomi

    Ndege za kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda

    Katika uwanja mdogo wa ndege wa Mazimbu, Morogoro, nilijikuta nikishuhudia jambo ambalo kwa wengi lingesikika kama hadithi tu. Hapa, kundi la vijana 13 wa Kitanzania wanapiga hatua kubwa kwa kutengeneza ndege ndogo kwa mikono yao hatua moja kubwa kuelekea historia mpya ya anga barani Afrika...
Back
Top