Kampuni zilizo Ibuka (Startups) za Tanzania na Kutamba zaidi mwaka 2018
Zimekuwa mstari wa mbele kutumia teknolojia kutatua changamoto za jamii na kuwa sehemu ya uboreshaji wa maisha ya wananchi. Zimewekeza zaidi katika kutumia teknolojia na kujipatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania. Lakini...