Jesca Magufuli: Baba Yangu Alikataa Kunipeleka Nikasome nje ya Nchi
Katika mahojiano maalum na mtangazaji Millard Ayo, Jesca Magufuli, mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli — Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania — ameweka wazi msimamo wa baba yao kuhusu elimu, akieleza...