mahakama

  1. Kasomi

    Jasusi wa Urusi aliyejifanya kuwa Mbrazili ili kujipenyeza katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu.

    Jasusi wa Urusi aliyejifanya kuwa Mbrazili ili kujipenyeza katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu. Jasusi wa Urusi aliyejifanya Mbrazili alijaribu kujipenyeza katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) huko The Hague, kulingana na Huduma ya Ujasusi ya Uholanzi. Mwanaume huyo...
  2. Kasomi

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Mahakama Kuu ya Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali kwakuwa Mrufani namba mbili Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupewa haki ya...
Back
Top