majina ya biashara

  1. Kasomi

    Usajili wa majina ya biashara BRELA

    USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA Jina la biashara ni nini? Jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu. Hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara. Mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty...
  2. Kasomi

    Gharama za usajili wa majina ya biashara BRELA

    Gharama za kusajili Gharama za kusajili alama za bishara au huduma BRELA (Gharama hizi ni pamoja na gharama za BRELA) 1- Gharama kuu ni Shs. 150,000/= 2- Gharama za kurudia baada ya masahihisho ni Shs. 50,000/= Masharti ya usajili 1- Mteja anawajibika kisheria na alama za biashara au huduma 2-...
Back
Top