Afrika imeelezwa kuwa moja ya kanda zinazokua kwa kasi zaidi katika ustawi binafsi duniani, licha ya baadhi ya nchi kubwa kukabiliwa na changamoto za mgawanyo wa kipato na mali.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Utajiri Afrika 2025 iliyotolewa na Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth...