Advertise here

matusi

  1. Kasomi

    Walioandika Matusi kwenye Mitihani kufatwa Mashuleni

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limeweka wazi kuwa litawafuatilia wanafunzi 19 walioandika matusi kwenye mitihani ya upimaji ya kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili iliyofanyika 2025 na kuhakikisha shule zinawachukulia hatua za kinidhamu. Hatua hiyo inakuja kufuatia kukithiri kwa...
Back
Top