mazungumzo

  1. M

    Mazungumzo na Dr. Herbet Ndombe wa Idara ya Historia UDSM

    Dr. Ndombe ni muhadhiri wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. Tarehe 9 Desemba tulishiriki kipindi kimoja cha televisheni katika kuadhimisha uhuru wa Tanganyika. Dr. Ndombe alipendezewa na mchango wangu nilipokuwa naeleza historia ya TANU. Alinitafuta baadae nami nikamkaribisha Maktaba...
  2. Kasomi

    JamiiTalk hulinda mazungumzo yako/yenu kwa ufumbaji wa mwisho hadi mwisho

    JamiiTalk hulinda mazungumzo yako/yenu kwa ufumbaji wa mwisho hadi mwisho. Hii inamaana kwamba ujumbe wa faragha hua katika yako na watu unao wasiliana nao hata JamiiTalk yenyewe haiwezi kuona wala kusoma. Ujumbe wa faragha hufumbwa mwisho hadi mwisho. Hakuna mtu nje ya soga yenu, hata...
  3. Kasomi

    Prof. Mjema amefanya mazungumzo na Wahandiri wa Chuo cha Maria Curie-Skłodowska University (UMCS) kutoka nchini Poland

    Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema amefanya mazungumzo na Wahandiri wa Chuo cha Maria Curie-Skłodowska University (UMCS) kutoka nchini Poland Prof. Pawel Pasierbiak, Prof. Mariusz Kicia, Dr. Jakub Czerniak na Dr. Konrad Czernichowski. Mazungumzo hayo yalilenga...
Back
Top