mbunge

  1. Kasomi

    TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege amefariki Dunia

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
  2. Kasomi

    Abbas Tarimba amuwakia Gwajima Bungeni atamani mbunge huyo afutwe uanachama wa CCM

    Nchini Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amemshutumu vikali mbunge mwenzake wa chama tawala CCM kwa kukosoa juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan huku akiziomba mamlaka kumchukulia hatua. "Kuna mtu mmoja humu ndani mwenzetu, mbunge, tena ana nafasi ya kuzungumza...
  3. Kasomi

    Mbunge ataka Kisukuma kiwe lugha ya biashara

    Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara. Kauli hiyo ameitoa hii leo...
  4. Kasomi

    Dodoma: Musukuma ajiuzulu ubalozi mazingira, akiikana ripoti Mto Mara

    Balozi wa Mazingira anayewakilisha Bunge, Joseph Kasheku (Musukuma) leo Jumanne Aprili 5, 2022 amejiuzulu nafasi hiyo akisema ni aibu kuwa mwakilishi wakati aliyemteua ameunda ripoti ya hovyo. Musukuma mbunge wa Geita Vijijini amefikia hatua hiyo muda mfupi baada ya tume iliyoundwa na Waziri wa...
Back
Top