Tafiti zinaonyesha kuwa Mbweha wa kiume hukaa single maisha yote baada ya kufiwa na mwenza wake aliyempenda.
Mbweha dume hupendelea kulea watoto wake pekeake baada ya mwenza wake kufa, jambo ambalo ni tofauti na wanyama wengi.
Lakini mbali na hilo mbweha wa kike hupata wapenzi kwa haraka na...